portrait

Ngunga Tepani

Dar Es Salaam, Tanzania

Translate From: English (EN)

Translate To: Swahili (SW)

262

Words Translated

0

Terms Translated

Ngunga’s Selected Translation Work

Terms and text shown below represent Ngunga’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.

English (EN)Dream Team

(basketball term) the name given by the media to the U.S. basketball team that won the gold medal at the 1992 Barcelona Olympics; it was the first time non-amateurs were permitted to represent the country; the members of this team were Charles Barkley, Larry ...

Swahili (SW)Dream Timu

(msemo kwenye mpira wa kikapu) ni jina waliopachikwa timu ya Marekani ambayo ilishinda medali ya dhahabu wakati wa mashindano ya Olimpiki mwaka 1992 huko Barcelona; ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wachezaji wa kulipwa kuruhusiwa kuwakilisha nchi yao; wachezaji ...

Sports; Basketball

English (EN)basket

(basketball term) attached to the backboard, it consists of a metal rim 18" in diameter suspended 10' from the floor, from which a 15-18" corded net hangs, and through which points are scored; also used to refer to a successful field goal

Swahili (SW)Kikapu

(kwa mchezo wa kikapu) kimefungwa kwenye ubao, kinakuwa mzunguko wa chuma wa kipenyo cha inchi 18 kikining'inizwa futi 10 kutoka chini, ambapo nyavu ya inchi 15 hadi 18 huning'inia, na kupitia humo alama hupatikana; pia neno hutumika kumaanisha goli mchezoni

Sports; Basketball

English (EN)arch

The curved line part of a standard soccer pitch located on top of each penalty box.(football)

Swahili (SW)Mduara nje ya penati

Ni nusu duara lililopo nje ya eneo la penati (kandanda)

Sports; Football

English (EN)pull

a poor golf shot played severely to the left

Swahili (SW)Fyongo

kupiga mpira vibaya kuelekea kushoto zaidi ukilinganisha na lilipo shimo kwenye gofu

Sports; Golf

English (EN)spray

hitting the golf ball with a grossly inconsistent direction compared with the target

Swahili (SW)Harijojo

kupiga mpira wa gofu mara kwa mara bila kufuata mwelekeo ukilinganisha na lilipo shimo

Sports; Golf

English (EN)free-throw line

A line 15 feet in front of each backboard from which players shoot foul shots; a line from which basketball players take penalty shots. Also referred to as foul line.

Swahili (SW)Mstari wa mtupo-huru

Mstari wenye urefu wa futi 15 mbele ya goli la kikapu ambapo kutokea hapo wachezaji hurusha mitupo ya vikapu baada ya kufanyiwa faulo; ni mstari ambapo wacheza mpira wa kikapu hurusha mipira ya penati. Pia hujulikana kama mstari wa adhabu

Sports; Basketball

English (EN)free-throw

(basketball term) an unguarded shot taken from the foul line by a player whose opponent committed a personal or technical foul; it is worth 1 point.

Swahili (SW)Mtupo-huru

(kwenye mpira wa kikapu) ni mtupo wa mpira kwenye kikapu bila ya kukingwa tokea kwenye mstari wa adhabu unaofanywa na mchezaji ambaye mpinzani wake amemchezea faulo ya kawaida au ya kiufundi; ina thamani ya pointi 1

Sports; Basketball

English (EN)open

(basketball term) when a player is unguarded by a defender.

Swahili (SW)Mwanya

(msemo kwenye mpira wa kikapu) ambapo mchezaji hubaki bila ya kuchungwa na mlinzi wa timu pinzani

Sports; Basketball

English (EN)slice

A shot that starts to go inside and then moves back outside. For a right-handed golfer the shot starts out to the left and the moves back to the right. Caused by too much backspin

Swahili (SW)Kislesi

Mpigo wa mpira unaolekea kuingia kwenye shimo kisha kutoingia tena Kwa mcheza-gofu anayetumia mkono wa kulia mpira unaelekea kushoto kisha hurudi tena kulia Husababishwa na mpira kuzunguka kinyumenyume mno ukiwa unatembea

Sports; Golf