portrait

Michael Mwangi

Sagana, Kenya

Translate From: English (EN)

Translate To: Swahili (SW)

162

Words Translated

0

Terms Translated

Michael’s Selected Translation Work

Terms and text shown below represent Michael’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.

English (EN)watermelon

The large melonlike fruit of a plant of the gourd family, with smooth green skin, red pulp, and watery juice.

Swahili (SW)Tikiti maji

tunda kubwa kwenye kundi la tikiti katika jamii ya mtango, lina ngozi laini ya kijani, nyama ya tunda ni nyekundu na juisi majimaji

Fruits & vegetables; Fruits

English (EN)scavenger

An organism that feeds habitually on refuse or carrion.

Swahili (SW)mla mizoga

Kiumbe anayekula takataka au nyama iliyooza (mzoga)

Animals; Insects

English (EN)avocado

A rich fruit known for its lush, buttery texture and mild, nutty flavor. Comes from the Nahuatl word for "testicle," perhaps for its shape. 80% of the U.S. crop comes from California. Avocados are the chief ingredient in "guacamole."

Swahili (SW)parachichi

Tunda lililo na virutibishi vingi linalojulikana kwa kupatikana kwa wingi,umbo kama siagi na ladha laini kama ya karanga Inatoka kwenye jina la Kinihuati "korondani", pengine kutokana na umbo lake Asilimia 80 ya mmea nchini Marekani hutoka California ...

Fruits & vegetables; Fruits

English (EN)banana

The world's most popular fruit. The most common U.S. variety is the yellow Cavendish. They are picked green and develop better flavor when ripened off the bush. Two sweeter varieties are the red banana and the dwarf or finger banana.

Swahili (SW)Ndizi

tunda maarufu zaidi duniani aina inayopatikana zaidi kutoka Marekani ni ya Cavendish ya manjano Zinachumwa mbichi na hupata ladha bora zikiiva bila kuwa shambani Aina mbili tamu ni ndizi nyekundu na kibete au kidole ndizi

Fruits & vegetables; Fruits

English (EN)tomato

A fruit from the nightshade family (like the potato and eggplant). The U.S. government classified it as a vegetable for trade purposes in 1893. Tomatoes should not be refrigerated--the cold adversely affects the flavor and the flesh.

Swahili (SW)Nyanya

tunda katika jamii ya Solanaceae (kama kiazi au bilingani) Serikali ya Marekani ilitabakisha kama mboga kwa madhumuni ya biashara katika mwaka wa 1893. nyanya haifai kuwekwa kwenye jokofu--baridi inaathiri ladha na umbo la mwili wake

Fruits & vegetables; Fruits

English (EN)apple

Round, green and sweet fruit, cultivated in temperate zones throughout the world for at least 3,000 years.

Swahili (SW)Tufaha

tunda tamu la duara lenye rangi ya kijani, limelimwa maeneo yote ya dunia yenye halijoto wastani kwa angalau miaka 3,000

Fruits & vegetables; Fruits