Terms and text shown below represent Winnie’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.
One who or that which is only of temporary existence.
Yule au kile ambacho kina uwepo kwa muda.
The art or work of constructing, as buildings, walls, etc. , with regularly arranged stones.
Sanaa au kazi ya kujenga, kama majengo, kuta, nk. , kwa mawe yaliyopangiliwa mara kwa mara.
A title of honor or respectful address, equivalent to sir.
Jina la heshima au tamko lenye adabu, sawa na bwana.
The characteristic fragrance of brewed tea, imparted by its essential oils.
Harufu ya chai iliyopikwa, inayotokana na mafuta yake muhimu.
One who proves in a convincing and conclusive manner.
Yule anayethibitisha kwa namna ya kushawishi na uadilifu.
To cause to burst in pieces by force from within.
Kusababisha kupasuka vipande vipande kwa nguvu kutoka ndani.
The practice of receiving and entertaining strangers and guests with kindness.
Kitendo cha kuwapokea na kuwaburidisha wageni kwa wema.
A model, pattern, or original to be copied or imitated.
Mfano, muundo, au asili ya kunakiliwa au kuigwa.
To wander from place to place.
Kutanga kutoka mahali fulani hadi kwingine.
Anything made of clay and baked in a kiln or dried in the sun.
Chochote kilichoundwa kwa udongo na kuokwa katika joko au kukaushwa kwenye jua.