Terms and text shown below represent Winnie’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.
Low level of mastery or competence in a language.
Kiwango cha chini cha ustadi au uwezo katika lugha.
To speak evil of, especially to do so falsely and severely.
Kusema mabaya juu ya, hasa kufanya hivyo kwa uongo na ukali.
Relating to Elizabeth, queen of England, or to her era.
Zinazohusiana na Elizabeti, Malkia wa Uingereza, au katika muhula wake.
The yielding to inclination, passion, desire, or propensity in oneself or another.
Kujitoa kwa kupendelea, shauku, tamaa, au kuegemea kwa mtu binafsi au kwa mwingine.
The state of having passed out of the memory or of being utterly forgotten.
Hali ya kuwa nje ya kumbukumbu au ya kusahaulika kabisa.
One who holds extreme views or advocates extreme measures.
Mtu ambaye ana maoni yaliyokithiri au yanayotetea hatua kali.
Using the left hand or arm more dexterously than the right.
Kutumia mkono wa kushoto kwa umahiri zaidi kuliko ule wa kulia.
To drive away by or as by scattering in different directions.
Kufukuza mbali au kutawanyisha katika njia tofauti.
An interpretation of evidence that provides a good reason for listeners to agree with the speaker.
Tafsiri ya ushahidi ambayo hutoa sababu nzuri kwa wasikilizaji kukubaliana na msemaji.
To cause to withdraw or retire, as from society or public life.
Kusababisha kuondoka au kustaafu, kama kutoka kwa jamii au maisha ya umma.