Terms and text shown below represent Winnie’s contributions to TermWiki.com, a free terminology website and knowledge resource for the translation community.
Communicative actions necessary to maintain interpersonal relations in a small group.
Vitendo vya mawasiliano vilivyo muhimu ili kudumisha mahusiano katika kundi dogo.
A protecting force accompanying property in course of transportation.
Ulinzi unaoandamana na mali katika mwendo wa usafiri.
A social party composed of persons masked and costumed so as to be disguised.
Sherehe ya kijamii inayojumlisha watu waliovalia barakoa na mavazi maalum ili kujificha.
To cover or fill the surface of.
Kufunika au kujaza eneo.
A required or agreed level of quality or attainment that is available for consideration and use worldwide.
Hatua inayotakiwa au kukubaliwa ya ubora au ufikio ambao unapatikana kwa ajili ya kuzingatia na kuweza kutumiwa duniani kote.
To make void, as an act, by the enacting authority or a superior authority.
Kufanya batili, kama vile kitendo, kwa mamlaka uliopo au mamlaka kuu.
To make a demand or repeated demands on for payment.
Kudai au kuitisha mara kwa mara juu ya kwa ajili ya malipo.
To have an earnest desire, wish, or longing, as for something high and good, not yet attained.
Kuwa na hamu ya kweli, kutaka, au matamanio, kama kwa kitu kizuri, na ambayo bado haijapatikana.
A person or thing connected with another, usually in some relation of helpfulness.
Mtu au kitu kinachoshikamana na nyingine, kwa kawaida katika uhusiano wa usaidizi.
A violent issue, especially of passion in an individual.
Suala la vurugu, hasa la hisia kali katika mtu binafsi.